lakini madhara ya hali hii ni kuwa inaleta hali ya huruma inaleta hali ya huruma na kusaidia kwa hiyo mwonekano kwa nchi za magharibi kuhusu matatizo ya kiuchumi ya afrika unakuwa mbaya mwonekano huu mbaya ni zao la mawazo kuwa afrika ni sehemu ya matatizo tuifanyie nini? tupeleke chakula kwa wenye njaa tupeleke madawa kwa wagonjwa tupeleke majeshi ya kulinda amani kuwalinda wanaokabiliwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe. na katika hali hii afrika imenyang'anywa kujitegemea yenyewe nataka kusema kuwa ni muhimu kuelewa kuwa afrika ina udhaifu wa msingi
Corpus name: QED. License: not specified. References: https://opus.nlpl.eu/QED.php |
|
Corpus name: QED. License: not specified. References: https://opus.nlpl.eu/QED.php |
|
Corpus name: QED. License: not specified. References: https://opus.nlpl.eu/QED.php |
|
Salle du renouveau africain
|
|
Corpus name: QED. License: not specified. References: https://opus.nlpl.eu/QED.php |